Breaking News
Loading...
Wednesday, May 28, 2014

Humble Beginnings: Tazama Muonekano wa Facebook, Twitter na Google wakati zinaanzishwa.

Humble Beginnings:  Tazama Muonekano wa Facebook, Twitter na Google wakati zinaanzishwa.

Amini usiamini, pale Website unayoipenda ilipokuwa ikianzishwa ilikuwa na muonekano unaofanana kidogo sana kulinganisha na inavyoonekana sasa. Website nyingi zilipoanzishwa zilikuwa ziktumia mfumo wa kawaida wa HTML na Minimal Design katika miaka ya 90 walikusa technologia inayoweza kupatikana sasa.
Kuanzia mitandao kama Facebook Twitter na Google. Makampuni yote haya yamebadilika sana toka kwenye muonekano wake wa kwanza. Shukrani kwa Technologia na wao kutokata tamaa na kuweza kufikisha makampuni haya hapa yakipo. 
Angalia Screenshot hapa chini.

Google ( 1996) 
Google.com


Facebook (2004)



Twitter (2006)


Youtube (2005)



SOMO: Hapa tunajifunza kwamba mwanzo unaweza kuwa na changamoto nyingi ikiwemo ujuzi na technologia lakini sio vitu hivi vitavyotabiri kufanikiwa kwako bali ni Muda na "determination".

Back To Top
Don't You Think this Awesome Post should be shared ??
| Humble Beginnings: Tazama Muonekano wa Facebook, Twitter na Google wakati zinaanzishwa. |