BUSINESSTOK: GEORGE TYSON ALIKUWA NI DIRECTOR WA TV SHOW HII MPYA NA TEAM NZIMA IMESIKITISHWA SANA KWA KIFO CHAKE.
BUSINESSTOK: GEORGE TYSON ALIKUWA NI DIRECTOR WA TV SHOW HII MPYA NA CREW NZIMA IMESIKITISHWA SANA NA KIFO CHAKE.
Our condolences to @Bongomovie @Family We are going to miss your talent. Our hearts to Family n Frenz #RIPGeorgeTyson pic.twitter.com/eHKw30LY3J
— BusinessTOK (@BusinessTOK) May 31, 2014
George akiandaa TV Show Mpya ambayo Mgeni wake alikuwa ni Mtangazaji wa kimataifa Mr.Shaka Sali Hots wa StraightTalk AFrica huko Marekani. Kipindi hiki bado hakijarushwa hewani.
Shaka Sali akihojiwa na Host wa BusinessTOK: Rosemary Mwakitwange
Ni wazi kwamba George Tyson alikuwa na makubwa sana na kuleta katika ulimwengu wa vipindi na Tasnia nchini. Watanzania tulikupenda na Mungu alikupenda zaidi. Tunakutakia mapumziko mema na Mungu akulaze mahala pema peponi. #RIPGeorgeTyson