Breaking News
Loading...
Wednesday, December 30, 2015

kwak nini unasua sua na kukubali kuanza 2016 katika hali hiyo yako ya ukata wa kazi, Pasipo mafunzo haya, utaendelea kuwa msindikizaji na msimuliaji wa mafanikio ya wenzano - Get ready to change your life come for training!

Baada ya kutoa matangazo ya mafunzo hayo bado walengwa wanasua sua na hivyo kuhatarisha nafasi yao ya kubadilishwa maisha yao. NI wiki moja tu kabla ya mafunzo yenyewe, ajabu ni kwamba vijana wasio na kazi wanashabikia sikukuu za mwisho wa mwaka wakati hawajua mwakani wanaanzia wapi. Ni vizuri ujiandikishe ili upatiwe madokezo na kuweza kujiandaa vizuri ili uweze kuandana na spidi ya mafunzo yenyewe. Soma tangazo hilo tena kwenye andiko lililopita, hii ni kwa faida yako wewe mmoja kati ya mamia ya vijana wa kitanzania wanaotangatanga na vyeti vyao pasipo kujua pa kukimbilia. Hakuna kazi iitakayokuja kwako kama hujui vigezo vya kutumia wakati wa kuomba kazi. Utakataliwa tena na tena na tena, na kuendelea kuwa na mwaka mwingine mbaya kwako na usio na matumaini. Vijana zaidi ya 495 wameshafiadika na program hii tangu mwaka 2010 tulipoianza. Ni maisha yako, fanya hima leo hii
Back To Top
Don't You Think this Awesome Post should be shared ??
| kwak nini unasua sua na kukubali kuanza 2016 katika hali hiyo yako ya ukata wa kazi, Pasipo mafunzo haya, utaendelea kuwa msindikizaji na msimuliaji wa mafanikio ya wenzano - Get ready to change your life come for training! |